MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2024 TAZAMA HAPA


KUITWA KWENYE USAILI NEC 2024 TAZAMA HAPA


TAMISEMI AJIRA ZA WALIMU 2024 TAZAMA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

WACHEZAJI Wapya wa Yanga 2024/2025

Filed in Usajili, Michezo by on 12/07/2024 0 Comments
Share this Post

WACHEZAJI Wapya wa Yanga 2024/2025

WACHEZAJI Wapya wa Yanga 2024/2025, Wachezaji wapya wa Yanga SC msimu wa 2024/2025, Yanga SC Squard 2024/2025, Wachezaji waliosajiliwa Yanga 2024/25, Wachezaji wapya Young Africans 2024/2025.

WACHEZAJI Wapya wa Yanga 2024/2025

WACHEZAJI Wapya wa Yanga 2024/2025, Wachezaji wapya wa Yanga SC msimu wa 2024/2025, Yanga SC Squard 2024/2025, Wachezaji waliosajiliwa Yanga 2024/25, Wachezaji wapya Young Africans 2024/2025.

Klabu ya Yanga tayari imeanza kutoa taarifa mbalimbali kuhusu maboresho ya kikosi cha timu hiyo kuelekea msimu ujao wa 2024/2025.

Kuelekea Msimu Mpya wa 2024/2025 Nijuze Habari tutakuletea orodha ya Majina ya Wachezaji wapya wote watakaosajiliwa na Yanga SC.

Orodha Kamili ya Wachezaji wapya wa Yanga SC 2024/2025.

  1. Clatous Chama Kutoka Simba SC.
  2. Prince Mpumelelo Dube Kutoka Azam FC.
  3. Chadrack Issaka Boka Kutoka FC Saint Eloi Lupopo ya DR Congo.
  4. Khomeiny Aboubakar Khomeiny Kutoka Singida Black Stars.
  5. Aziz Andabwile kutoka Fountain Gate FC
  6. Duke Abuya Kutoka Singida Black Stars FC.

Young Africans S.C. (maarufu kama Yanga, jina kamili ni Young Africans Sports Club) ni timu ya soka ya nchini Tanzania iliyoanzishwa mwaka 1935, inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara. Jina la utani Timu ya Wananchi au Wanajangwani.

Yanga ndio Mabingwa wa Kihistoria ndani ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara wakichukua Ubingwa mara 30 na mabingwa mara 5 kombe la mabingwa Afrika Mashariki CECAFA Kagame Cup.

KWA HABARI ZAIDI DOWNLOAD APP YA NIJUZE HABARI HAPA


KUPATA NAMBA YA NIDA BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA


KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA [email protected]

Share this Post

Tags: , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!