MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2024 TAZAMA HAPA


KUITWA KWENYE USAILI NEC 2024 TAZAMA HAPA


TAMISEMI AJIRA ZA WALIMU 2024 TAZAMA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

WACHEZAJI wapya wa Simba 2024/2025

Filed in Usajili, Michezo by on 12/07/2024 1 Comment
Share this Post

WACHEZAJI wapya wa Simba 2024/2025

WACHEZAJI wapya wa Simba 2024/2025, Wachezaji wapya wa Simba SC msimu wa 2024/2025, Simba SC Squard 2024/2025, Wachezaji waliosajiliwa Simba 2024/25, Wachezaji wapya Simba 2024/2025.

WACHEZAJI wapya wa Simba 2024/2025

WACHEZAJI wapya wa Simba 2024/2025, Wachezaji wapya wa Simba SC msimu wa 2024/2025, Simba SC Squard 2024/2025, Wachezaji waliosajiliwa Simba 2024/25, Wachezaji wapya Simba 2024/2025.

Klabu ya Simba tayari imeanza kutoa taarifa mbalimbali kuhusu maboresho ya kikosi cha timu hiyo kuelekea msimu ujao wa 2024/2025.

Kuelekea Msimu Mpya wa 2024/2025 Nijuze Habari tutakuletea orodha ya Majina ya Wachezaji wapya wote watakaosajiliwa na Simba SC.

Orodha Kamili ya Wachezaji wapya wa Simba SC 2024/2025.

 1. Lameck Lawi kutoka Coastal Union.
 2. Joshua Mutale kutoka Power Dynamos.
 3. Steven Dese Mukwala kutoka Asante Kotoko.
 4. Jean Charles Ahoua kutoka Stella Club d’Adjamé.
 5. Abdulrazack Mohamed Hamza kutoka Super Sport United.
 6. Valentino Mashaka kutoka Geita Gold FC.
 7. Augustine Okejepha  Kutoka Rivers United.
 8. Debora Fernandes Mavambo Kutoka Mutondo Stars.
 9. Omary Omary Kutoka Mashujaa FC.
 10. Karaboue Chamou Kutoka Racing Club d’ Abidjan.
 11. Valentin Nouma kutoka St. Eloi Lupopo.
 12. Yusuph Kagoma kutoka Singida Black Stars FC.
 13. Kelvin Kijili kutoka Singida Fountain Gate

Aidha dirisha la usajili kwa Ligi Kuu soka Tanzania Bara, Ligi ya Championship, First League na Ligi Kuu ya Wanawake msimu wa mwaka 2024/25 tayari limefunguliwa Juni 15-2024 na litafungwa Agosti 15-2024.


Simba Sports Club ni timu ya soka iliyo na makao makuu katika mtaa wa Msimbazi, Kariakoo, katika jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara ambapo ilianzishwa mwaka 1936, ikiitwa kwanza Eagles na baadaye tena iliitwa Dar Sunderland.

Mwaka 1971 ikaibadilisha jina lake kabisa na kuitwa, Simba Sport Club (ambalo linamaanisha Lion kwa Kiinɡereza).

Simba Sports Club ni mojawapo ya timu kubwa ya mpira wa miguu nchini Tanzania, wapinzani wao karibu ni Younɡ Africans.

Ni mabingwa wa taifa mara 18 tena ni mabingwa mara 6 katika kombe la Kagame, kwenye Ligi Kuu ni Mabingwa mara 22.

Mechi zao za nyumbani Simba wanatumia viwanja viwili, ambavyo ni Uwanja wa Uhuru na Uwanja wa Taifa.

Kwa habari zaidi Download App ya Nijuze Habari Hapa

KUPATA NAMBA YA NIDA BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA


KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA [email protected]

Share this Post

Tags: , , , , , , ,

Comments (1)

Trackback URL | Comments RSS Feed

 1. Alani selemani abasi says:

  Bas waakikishe awo wachezaji waliowazungumzanae bas wawe hao hao

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!