MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2024 TAZAMA HAPA


KUITWA KWENYE USAILI NEC 2024 TAZAMA HAPA


TAMISEMI AJIRA ZA WALIMU 2024 TAZAMA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

TIMU ambazo Simba inaweza Kutana nazo CAF Confederation Cup 2024/2025

Filed in Michezo by on 11/07/2024 0 Comments
Share this Post

TIMU ambazo Simba inaweza Kutana nazo CAF Confederation Cup 2024/2025

TIMU ambazo Simba inaweza Kutana nazo CAF Confederation Cup 2024/2025

TIMU ambazo Simba inaweza Kutana nazo CAF Confederation Cup 2024/2025

TIMU ambazo Simba inaweza Kutana nazo CAF Confederation Cup 2024/2025, Droo ya hatua ya awali na raundi ya kwanza Ligi ya Mabingwa Barani Afrika (CAF Champions League) na Kombe la Shirikisho (CAF Confederation Cup) 2024/2025 inatarajiwa kufanyika Leo Alhamisi ya Julai 11, 2024 Mjini Cairo nchini Misri, Kuanzia Saa 9:00 Alasiri.

Kwa mujibu wa Kalenda ya Michuano hiyo, mechi za hatua ya awali mtoano zitaanza kuchezwa August 16 hadi 18 na Marudiano itakuwa ni August 23 hadi 25.

Mechi za raundi ya kwanza zitapigwa September wakati hatua ya Makundi itaanza October 2024.

Kuelekea droo hiyo Klabu ya Simba itaanzia raundi ya kwanza na washindi wa jumla wa raundi ya awali watafuzu raundi ya kwanza na washindi wa jumla wa raundi ya kwanza wanafuzu hatua ya Makundi.

Timu 52 zitashiriki Kombe la Shirikisho (CAF Confederation Cup 2024/2025) na timu 12 ambazo ni RS Berkane, Simba SC, Stade Melien, Enyimba, Zamalek, El Masry, Sfaxien, AS Vita, ASEC, USM Alger, Sekhukhune na FC Lupopo zitaanzia raundi ya kwanza huku timu 40 zikianzia raundi ya awali (Preliminary).

Washindi 20 wa jumla wa michezo ya raundi ya awali wataungana na timu 12 ambazo zitaanzia raundi ya kwanza na kuwa timu 32 ambazo zitacheza raundi ya kwanza na washindi 16 wa jumla ya Michezo ya raundi ya kwanza watafuzu Makundi ya Kombe la Shirikisho.

Klabu ya Simba itakutana na washindi wa jumla wa michezo ya Pot 2 yenye timu za CS Constantine ya Algeria, Rukinzo ya Burundi, Coffee ya Ethiopia, Police ya Kenya, Police ya Rwanda na Uhamiaji ya Zanzibar.

Timu nyingine ambazo Simba inaweza kukutana nazo kwenye hatua ya Kwanza ni Stade Tunis ya Tunisia, Kitara ya Uganda, Horseed ya Somalia na Jamus ya Sudan.

Baada ya michezo ya raundi ya awali ya Pot 2 washindi 6 wa jumla watafuzu kucheza raundi ya kwanza na timu moja kati ya hizo 6 ndiyo itacheza na Simba SC.

Kwa habari zaidi Download App ya Nijuze Habari Hapa

KUPATA NAMBA YA NIDA BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA


KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA [email protected]

Share this Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!