RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


RATIBA YA LIGI KUU YA EPL 2024/2025 TAZAMA HAPA


KUITWA KWENYE USAILI INEC 2024 TAZAMA HAPA


KUPATA AJIRA MPYA KILA SIKU BONYEZA HAPA

MSIMAMO NBC Championship 2023/2024

Filed in Michezo by on 28/04/2024 0 Comments
Share this Post

MSIMAMO NBC Championship 2023/2024

MSIMAMO NBC Championship 2023/2024,Msimamo nbc championship 2023/2024 schedule, Msimamo nbc championship 2023/24 results, msimamo championship tanzania 2023/24, msimamo championship 2023/2024.

MSIMAMO NBC Championship 2023/2024

MSIMAMO NBC Championship 2023/2024,Msimamo nbc championship 2023/2024 schedule, Msimamo nbc championship 2023/24 results, msimamo championship tanzania 2023/24, msimamo championship 2023/2024.

Ligi Championship msimu 2023 /24 imemalizika leo katika viwanja tofauti ambapo michezo ya mwisho kwa msimu huu ilikuwa ikichezwa.

Klabu ya Ken Gold ya Mbeya imefanikiwa kupanda Ligi Kuu ya NBC msimu 2024/2025 baada ya kuwa Mabingwa wa Ligi hiyo kufuatia kukusanya pointi 70 katika michezo 30 waliyocheza.

Wameshinda idadi kubwa ya mechi kuliko timu zote (mechi 21), huku wakipoteza michezo miwili na sare 7.

Klabu ya Pamba Jiji FC ya Mwanza nayo imefanikiwa kupanda Ligi Kuu baada ya kufanikiwa kukusanya pointi 67 kwa michezo 30 waliyocheza ambapo wameshinda michezo 20, wametoa sare michezo 7 na kupoteza michezo mitatu pekee, wameungana na Kengold kupanda Ligi Kuu ya NBC moja kwa moja.

Klabu za Biashara United ya Mara na Mbeya Kwanza ya Mbeya zinasubiri kucheza mechi za mtoano na timu zitakazomaliza nafasi ya 13 na 14 kwenye Ligi Kuu baada ya msimu kumalizika kuwania kupanda Ligi Kuu.

Aidha, Ruvu Shooting na Pan African zimeshuka daraja kutoka NBC Championship kwenda First League baada ya kuhitimisha msimu zikiwa kwenye nafasi mbili za chini, ambapo Ruvu Shooting wamemaliza na pointi 13 huku Pan African wakimaliza na pointi 20 baada ya mechi zote 30 za msimu.

MSIMAMO wa NBC Championship 2023/2024MSIMAMO NBC Championship 2023/2024,Msimamo nbc championship 2023/2024 schedule, Msimamo nbc championship 2023/24 results, msimamo championship tanzania 2023/24, msimamo championship 2023/2024.

Matokeo ya Mechi za mwisho (Mzunguko wa 30) NBC Championship 2023/2024

👉April 28-2024 NBC Championship
FT Mbuni FC 1 – 3 Pamba FC
FT TMA 2 – 3 Copco FC
FT Biashara United 4 – 0 Cosmopolitan FC
FT Pan African 2 – 2 Stand United
FT FGA Talents 3 – 1 Mbeya City
FT Kengold FC 1 – Polisi Tanzania
FT Green Warriors 1 – 0 Ruvu Shooting
FT Mbeya Kwanza 2 – 0 Transit Camp

MSIMAMO NBC Championship 2023/2024,Msimamo nbc championship 2023/2024 schedule, Msimamo nbc championship 2023/24 results, msimamo championship tanzania 2023/24, msimamo championship 2023/2024.Tanzania NBC Championship League Table 2023-24, Msimamo wa NBC Championship League 2023/2024, NBC Championship Fixtures, Ligi Daraja la Kwanza Tanzania 2023-24, Tanzania NBC Championship League Table 2023-24

Ligi kubwa ya soka nchini Tanzania ni Ligi Kuu ya Soka ya NBC, Ligi Kuu ya NBC ndiyo ligi kubwa zaidi inayojumuisha jumla ya timu 16 kutoka Mikoa Mbali Mbali, baada ya Ligi hiyo, Ligi ya Pili kwa ukubwa ni Ligi daraja la kwanza inayojulikana kwa jina la NBC Championship.

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) lililokuwa likijulikana kama Chama cha Soka Tanzania, ndilo Shirikisho linalosimamia soka nchini humo.

Shirikisho hilo linasimamia timu ya taifa ya soka ya Tanzania, timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania, na mfumo wa ligi ya soka Tanzania, inayojumuisha Ligi Kuu ya Tanzania, Ligi Daraja la Kwanza Tanzania (Championship), Ligi ya NBC, na Ligi ya Mabingwa wa Mikoa.

About Nijuze Habari Blog

About Nijuze Habari, About Nijuze Habari 24,Nijuze Habari -| Pata Habari zote za Michezo na Usajili, Magazeti, Ratiba na Matokeo na Nafasi Mpya za Ajira.

About Nijuze Habari

About Nijuze Habari Blog, About Nijuze Habari, About Nijuze Habari 24,Nijuze Habari -| Pata Habari zote za Michezo na Usajili, Magazeti, Ratiba na Matokeo na Nafasi Mpya za Ajira, Nijuze Habari 24, Nijuze Habari Ajira, Nijuze Habari Michezo, Nijuze Habari Magazeti, Nijuze Habari Matokeo, Nijuze Habari Ratiba.

Nijuze Habari ni Blog ya Kiswahili Maarufu Duniani kwa Habari za Magazeti, Habari za Michezo, Nafasi za Ajira Mpya na Tetesi za Usajili.

Nijuze Habari inakuletea Nafasi za Kazi kila siku, Makala Mbali mbali Pamoja na Kutazama Ratiba na Matokeo ya Ligi zote Duniani, Matokeo ya EPL, Matokeo ya Bundesliga, Matokeo ya Seria A, Matokeo ya La Liga, Matokeo ya League 1, Matokeo ya NBC Premier League.

Nijuze Habari inakuwezesha kutazama Matokeo ya moja kwa moja (LIVE Updates) wakati mechi zinaendelea za Simba na Yanga kwenye Ligi Kuu ya NBC na kwenye michezo ya CAF pamoja na Michezo mingine itakayoshiriki

Nijuze Habari pia inakuleta Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Wafungaji Bora, Makipa Bora, Wachezaji Bora, Vikosi vya Simba na Yanga, ratiba za Simba, Yanga na Azam FC, Matokeo ya Simba SC, Matokeo ya Yanga, ratiba ya Bundesliga, ratiba ya EPL, ratiba ya Seria A, ratiba ya League 1, ratiba ya La Liga.

About Nijuze Habari Blog

Nijuze Habari pia inakuletea Matokeo ya NECTA Tanzania na Zanzibar, Yanayojiri Magazetini Kila Siku, Habari Kubwa za Magazeti Pamoja Vichwa vya Habari za Magazeti.

Matokeo ya NECTA Darasa la Nne, Matokeo ya NECTA Darasa la Saba, Matokeo ya NECTA Kidato cha Kwanza, Matokeo ya NECTA Kidato cha Nne, Matokeo ya NECTA ya Form 6 na Nyuo Mbali Mbali, Pamoja Waliochaguliwa kujiunga na Kidato Cha Kwanza na Kidato Cha Tano.

Pia Nijuze Habari inakuletea taarifa zote Bodi ya Mikopo ya Elimu Juu HESLB, Nafasi za Ajira zinazotangazwa kila Siku na Taasisi Mbalimbali kama Ajiraportal na Makampuni Mbalimbali, Wanaoitwa Kazini kila siku na Wanaoitwa kwenye Usaili Taasisi Mbalimbali za Serikalini na Makampuni kila Siku, Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

KWA HABARI ZAIDI DOWNLOAD APP YETU HAPA


KUPATA NAMBA YA NIDA BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA


KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA [email protected]

Share this Post

Tags: , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!