MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2024 TAZAMA HAPA


KUITWA KWENYE USAILI NEC 2024 TAZAMA HAPA


TAMISEMI AJIRA ZA WALIMU 2024 TAZAMA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

FOMU za Kujiunga na Mafunzo ya Ufundi Stadi VETA 2025

Filed in Ajira, Makala by on 04/07/2024 0 Comments
Share this Post

FOMU za Kujiunga na Mafunzo ya Ufundi Stadi VETA 2025

FOMU za Kujiunga na Mafunzo ya Ufundi Stadi VETA 2025, Fomu ya Maombi ya Kujiunga na Mafunzo ya Ufundi Stadi katika Vyuo Vinavyomilikiwa na Veta Mwaka 2025, Fomu za Kujiunga na VETA 2024/2025, Fomu za Kujiunga na Mafunzo ya Ufundi Stadi VETA Tanzania 2025.

FOMU za Kujiunga na Mafunzo ya Ufundi Stadi VETA 2025

FOMU za Kujiunga na Mafunzo ya Ufundi Stadi VETA 2025, Fomu ya Maombi ya Kujiunga na Mafunzo ya Ufundi Stadi katika Vyuo Vinavyomilikiwa na Veta Mwaka 2025, Fomu za Kujiunga na VETA 2024/2025, Fomu za Kujiunga na Mafunzo ya Ufundi Stadi VETA Tanzania 2025.

FOMU NAMBA: VETA/AF/LC/…… /……/………
A. MAELEZO YA MWOMBAJI (Jaza kwa herufi kubwa)
1. Jina la Mwombaji……………………………………………………………………. Jinsi: Me/ Ke …………………………
(Majina kama yalivyo kwenye vyeti vyako)
2. Tarehe ya kuzaliwa.……/………. /……….. Uraia: ………………… Namba ya NIDA/Leseni ya gari…………
3. Kiwango cha Juu cha Elimu yako ………………………Mwaka uliohitimu ……………
Jina la Shule/Chuo uliyohitimu……………………………………………………………………………….
4. Anuani ya Mwombaji: S.L.P ……………. Mahali unapoishi: Kijiji/Kata ……………………………………….
Wilaya ……………………………… Mkoa ………………………… Namba ya Simu………………………………………
Barua pepe ………………………………………………………………………
5. Jina la Mzazi/Mlezi/Mfadhili…………………………………………………………………………………………………………
Anuani ya Mzazi /Mlezi/Mfadhili S L. P ……………… Namba ya simu …………………
Barua pepe …………………………………………………………………………………………
6. Andika fani tatu unazopenda kujifunza na uandike kufuatana na kipaumbele chako (Angalia orodha ya
fani na vyuo vinavyomilikiwa na VETA iliyoambatishwa).
i. ………………………………………………………………………………………
ii. ……………………………………..……………………………………………….
iii. .………………………………………………………………………………………
7. Ukichaguliwa ungependa kusoma: (Weka alama ya vema ( ) katika kisanduku husika)
Bweni
(ii) Kutwa

8. Andika majina ya Vyuo vitatu(3) unavyopenda kwenda kusoma kuendana na machaguo ya fani
ulizochagua
a. ……………………………………………………………………
b. ……………………………………………………………………
c. ……………………………………………………………………
9. Je upo tayari kupangiwa chuo kingine cha VETA nje ya hicho Chuo ulichojaza hapo juu Na. 8 ambacho
ni cha Bweni ………………………………………………………………………………

FOMU za Kujiunga na Mafunzo ya Ufundi Stadi VETA 2025, Fomu ya Maombi ya Kujiunga na Mafunzo ya Ufundi Stadi katika Vyuo Vinavyomilikiwa na Veta Mwaka 2025, Fomu za Kujiunga na VETA 2024/2025, Fomu za Kujiunga na Mafunzo ya Ufundi Stadi VETA Tanzania 2025.

FOMU za Kujiunga na Mafunzo ya Ufundi Stadi VETA 2025

MAELEZO YA YA FOMU NA MTIHANI

 • Fomu zitaanza kutolewa kuanzia tarehe 04/7/2024 na mwisho wa kuchukua na kurudisha Fomu ni
  tarehe 30/9/2024.
 • Mtihani wa kujiunga na chuo utafanyika tarehe 02 Oktoba, 2024 saa 02:30 Asubuhi,Unapaswa
  kuripoti nusu saa kabla. Pamoja na fomu hii fika na risiti uliyolipia, vyeti halisi vya kuhitimu
  shule/chuo, kalamu ya wino, penseli na picha moja (passport size). Kutofuata maagizo tajwa hapa
  juu itapelekea kutoruhusiwa kufanya mtihani.
 • Matokeo ya Mtihani yatatolewa tarehe 29 Novemba, 2024 na yatabandikwa katika mbao za
  matangazo chuoni na katika vituo vya mitihani pia yatawekwa kwenye tovuti ya VETA
  www.veta.go.tz
 • Taja Chuo utakachofanyia mtihani……………………………………………………………….

MAELEZO MUHIMU

 • Fomu zinapatikana kwenye chuo cha VETA kilicho karibu, pamoja na kwenye tovuti ya VETA:
  www.veta.go.tz
 • Mwombaji atalipia kiasi cha shilingi Elfu Tano (5,000) tu siku ya kurudisha fomu.
 • Weka alama ya vema (√) kwenye aina yeyote ya ulemavu kama unao: Usikivu Hafifu ( ) Uoni Hafifu
  ( ) Ulemavu wa Ngozi ( ) Ulemavu wa Viungo ( )
 • Taja Ulemavu Mwingine kwa kuorodhesha iwapo unao na haujaainishwa katika kipenge (iii)
  …………………………………………………………………………………………………………

UTHIBITISHO
Nathibitisha kuwa nimesoma na kuelewa yote yaliyo katika fomu hii, na taarifa nilizotoa ni sahihi.
Saini ya Mwombaji: ……………………………………………………………… Tarehe:…………………………………………………………
Saini ya Mzazi/Mlezi/Mfadhili: ………………………………………………… Tarehe:…………………………………………………………
Muhimu: Toa nakala fomu hii baada ya kuijaza kikamilifu, na uwasilishe nakala ya fomu chuoni; fomu halisi utakuja
nayo siku ya kufanya mtihani wa kujiunga.

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD FOMU YA MAOMBI YA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI VETA 2025

KWA HABARI ZAIDI DOWNLOAD APP YA NIJUZE HABARI HAPA


KUPATA NAMBA YA NIDA BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA


KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA [email protected]

Share this Post

Tags: , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!