MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2024 TAZAMA HAPA


KUITWA KWENYE USAILI NEC 2024 TAZAMA HAPA


TAMISEMI AJIRA ZA WALIMU 2024 TAZAMA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

Usajili

Usajili

SADIO Kanoute apewa Thank You

Filed in Usajili, Michezo by on 09/07/2024 0 Comments
SADIO Kanoute apewa Thank You

SADIO Kanoute apewa Thank You SADIO Kanoute apewa Thank You,Klabu ya Simba SC imethibitisha kuwa kuelekea msimu mpya wa Mashindano 2024/2025 kiungo mkabaji Sadio Kanoute sehemu ya Kikosi hicho. MASWALI Yanayoulizwa Mara Kwa Mara Ajira za INEC Kanoute alijiunga Simba msimu wa 2021/2022 akitokea Al Ahly Benghazi ya Libya. Mkataba wa Kanoute umemalizika rasmi na […]

Continue Reading »

WACHEZAJI Walioachwa Simba 2024/2025

Filed in Usajili, Michezo by on 09/07/2024 0 Comments
WACHEZAJI Walioachwa Simba 2024/2025

WACHEZAJI Walioachwa Simba 2024/2025 WACHEZAJI Walioachwa Simba 2024/2025, Wachezaji Walioachwa na Simba 2024/2025,Wachezaji Walioachwa Simba SC 2024/2025, Wachezaji Walioachwa na Klabu ya Simba 2024/2025, Wachezaji waliopewa Thank You Simba SC 2024/2025. TETESI Za Usajili Simba SC 2024/2025 Wakati dirisha Kubwa la Usajili Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/2025 lililofunguliwa Juni 15 likitarajiwa kufungwa Agosti, […]

Continue Reading »

AZIZ Andabwile ni Mwananchi

Filed in Usajili, Michezo by on 09/07/2024 0 Comments
AZIZ Andabwile ni Mwananchi

AZIZ Andabwile ni Mwananchi AZIZ Andabwile ni Mwananchi, Klabu ya Yanga SC imekamilisha Usajili wa kiungo Mkabaji, Aziz Andabwile kutoka Fountain Gate FC kwa mkataba wa miaka miwili. HERSI Athibitisha Aziz Ki Hajasaini Mkataba Mpya Usajili wa kiungo huyo ni sehemu ya kuimarisha kikosi Cha Yanga Kuelekea msimu ujao wa 2024-2025. Andambwile anakuja Young Africans […]

Continue Reading »

ISHU ya Lameck Lawi na Simba Yafikia hapa

Filed in Usajili, Michezo by on 08/07/2024 0 Comments
ISHU ya Lameck Lawi na Simba Yafikia hapa

ISHU ya Lameck Lawi na Simba Yafikia hapa ISHU ya Lameck Lawi na Simba Yafikia hapa,Wakati Simba ikianza safari ya kuelekea Misri kwaajili ya kambi ya kujiandaa na msimu mpya wa 2024/2025, beki Lameck Lawi yeye yupo Jijini Dar es Salaam na timu yake ya Coastal Union. PICHA Simba yaanza Safari ya Misri Lameck Lawi […]

Continue Reading »

AYOUB Lakred Asaini Mkataba Mpya

Filed in Usajili, Michezo by on 08/07/2024 0 Comments
AYOUB Lakred Asaini Mkataba Mpya

AYOUB Lakred Asaini Mkataba Mpya AYOUB Lakred Asaini Mkataba Mpya, Ayoub Lakred yupo sana Simba, Mlinda mlango, Ayoub Lakred amesaini mkataba mpya wa mwaka mmoja wa kuendelea kusalia Simba SC hadi 2025. WACHEZAJI wapya wa Simba 2024/2025 Lakred aliyesajiliwa na Simba msimu uliopita kutoka FAR Rabat ya kwao Morocco na kutokana na ubora aliouonyesha Simba […]

Continue Reading »

USAJILI Yusuph Kagoma ni Mnyama

Filed in Usajili, Michezo by on 08/07/2024 0 Comments
USAJILI Yusuph Kagoma ni Mnyama

USAJILI Yusuph Kagoma ni Mnyama USAJILI Yusuph Kagoma ni Mnyama, Klabu ya Simba imekamilisha usajili wa Kiungo mkabaji, Yusuph Kagoma kwa mkataba wa miaka mitatu kutoka Singida Fountain Gate. USAJILI Karaboue Chamou ni Mnyama Kagoma ni moja ya vijana wazawa wenye uwezo mkubwa wa kuzuia timu ikishambuliwa na kupandisha mashambulizi. Uwezo wake na umri wake […]

Continue Reading »

KHOMEINY Aboubakar Khomeiny ni Mwananchi

Filed in Usajili, Michezo by on 08/07/2024 0 Comments
KHOMEINY Aboubakar Khomeiny ni Mwananchi

KHOMEINY Aboubakar Khomeiny ni Mwananchi KHOMEINY Aboubakar Khomeiny ni Mwananchi,Klabu ya Yanga imekamilisha usajili wa golikipa, Khomeiny Aboubakar Khomeiny Kutoka Singida Black Stars zamani Ihefu FC. RASMI Chadrack Issaka Boka ni Mwananchi Kijana huyo mwenye umri wa miaka 25, anakuja kuungana na Djigui Diarra na Aboutwalib Mshery katika kulinda lango la Klabu hiyo. Ujio wa […]

Continue Reading »

RASMI Chadrack Issaka Boka ni Mwananchi

Filed in Usajili, Michezo by on 08/07/2024 0 Comments
RASMI Chadrack Issaka Boka ni Mwananchi

RASMI Chadrack Issaka Boka ni Mwananchi RASMI Chadrack Issaka Boka ni Mwananchi,Klabu ya Yanga usajili wa beki wa kushoto, Chadrack Issaka Boka kutoka FC Saint Eloi Lupopo ya nchini DR Congo. RASMI Prince Mpumelelo Dube ni Mwananchi Beki huyo mwenye umri wa miaka 24 ambaye ni mzaliwa wa Kinshasa nchini DR Congo, anakuja kuimarisha eneo […]

Continue Reading »

USAJILI Karaboue Chamou ni Mnyama

Filed in Usajili, Michezo by on 07/07/2024 0 Comments
USAJILI Karaboue Chamou ni Mnyama

USAJILI Karaboue Chamou ni Mnyama USAJILI Karaboue Chamou ni Mnyama, Klabu ya Simba imekamilisha usajili wa mlinzi wa kati Karaboue Chamou raia wa Ivory Coast kutoka klabu ya Racing Club d‘ Abidjan kwa mkataba wa miaka miwili. RASMI Valentin Nouma ni Mnyama Karaboue mwenye urefu wa futi 6.2 akiwa na Umri wa miaka 24 yuko […]

Continue Reading »

RASMI Valentin Nouma ni Mnyama

Filed in Usajili, Michezo by on 07/07/2024 0 Comments
RASMI Valentin Nouma ni Mnyama

RASMI Valentin Nouma ni Mnyama RASMI Valentin Nouma ni Mnyama, Klabu ya Simba imekamilisha usajili mlinzi wa kushoto Valentin Nouma raia wa Burkina Faso kutoka klabu ya St. Eloi Lupopo ya DR Congo kwa mkataba wa miaka mitatu. USAJILI Omary Omary Atua SimbaValentin mwenye umri wa miaka 24 ana uwezo mkubwa wa kukaba na kushambulia […]

Continue Reading »

error: Content is protected !!