MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2024 TAZAMA HAPA


KUITWA KWENYE USAILI NEC 2024 TAZAMA HAPA


TAMISEMI AJIRA ZA WALIMU 2024 TAZAMA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

BABACAR Sarr Apewa Thank You

Filed in Usajili, Michezo by on 10/07/2024 0 Comments
Share this Post

BABACAR Sarr Apewa Thank You

BABACAR Sarr Apewa Thank You

BABACAR Sarr Apewa Thank You

BABACAR Sarr Apewa Thank You, Uongozi wa klabu Simba umefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na kiungo mkabaji Babacar Sarr.

Babacar alijiunga na Simba katika dirisha la usajili la mwezi Januari akiwa Mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba na timu ya US Monastir ya Tunisia.

BABACAR Sarr Apewa Thank You

BABACAR Sarr Apewa Thank You

Klabu ya Simba ilikuwa na matumaini na Babacar kutokana na uwezo mkubwa alionao lakini ameshindwa kuushawishi uongozi kuendelea naye.

Katika kipindi chote cha miezi sita alichokuwa Simba, Babacar amekuwa mchezaji imara na mara zote alipopata nafasi alijitoa kwa asilimia 100 kuhakikisha timu inapata matokeo chanya.

Klabu ya Simba imemtakia kila la kheri katika maisha mapya ya soka nje ya Simba.

Kwa habari zaidi Download App ya Nijuze Habari Hapa

KUPATA NAMBA YA NIDA BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA


KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA [email protected]

Share this Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!