MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2024 TAZAMA HAPA


KUITWA KWENYE USAILI NEC 2024 TAZAMA HAPA


TAMISEMI AJIRA ZA WALIMU 2024 TAZAMA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

AYOUB Lakred Asaini Mkataba Mpya

Filed in Usajili, Michezo by on 08/07/2024 0 Comments
Share this Post

AYOUB Lakred Asaini Mkataba Mpya

AYOUB Lakred Asaini Mkataba Mpya

AYOUB Lakred Asaini Mkataba Mpya

AYOUB Lakred Asaini Mkataba Mpya, Ayoub Lakred yupo sana Simba, Mlinda mlango, Ayoub Lakred amesaini mkataba mpya wa mwaka mmoja wa kuendelea kusalia Simba SC hadi 2025.

Lakred aliyesajiliwa na Simba msimu uliopita kutoka FAR Rabat ya kwao Morocco na kutokana na ubora aliouonyesha Simba imeamua kumuongezea mkataba mpya.

AYOUB Lakred Asaini Mkataba Mpya

AYOUB Lakred Asaini Mkataba Mpya

Lakred ni miongoni mwa wachezaji waliokuwa muhimili wa timu msimu uliopita pamoja na kumaliza Katika nafasi ya 3 kwenye Msimamo wa Ligi ya NBC yenye jumla ya timu 16.

Wakati Simba ikiendelea kusuka kikosi imara kwaajili ya msimu ujao wa 2024/2025 Lakred ni sehemu ya ujenzi wa timu hiyo ndio maana ameongezewa mkataba.

Aidha Lakred ataungana na kikosi katika kambi ya maandalizi nchini Misri moja kwa moja ambacho kimeondoka leo jioni.

Kwa habari zaidi Download App ya Nijuze Habari Hapa

KUPATA NAMBA YA NIDA BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA


KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA [email protected]

Share this Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!