Michezo

TBC Kuonesha Mechi zote za AFCON 2023/2024

TBC Kuonesha Mechi zote za AFCON 2023/2024

TBC Kuonesha Mechi zote za AFCON 2023/2024, AFCON2023,KiputeMserereko, TBCupdates, TBCdigital, Ratiba ya afcon 2024 schedule, Ratiba ya AFCON 2023, Makundi ya AFCON 2023, Mechi za leo afcon 2023,Kundi la Tanzania AFCON 2023/24,TBC Kuonesha Mechi zote za AFCON 2023/2024z Mechi zote hizo utazitama Bure kupitia TBC1, TBC2 na kusikiliza kupitia TBC Taifa, TBC FM na mtandao wa YouTube wa TBC online.AFCON qualifiers, Africa Cup of Nations results 2023, AFCON fixtures, AFCON 2024 fixtures, AFCON 2023 qualifiers fixtures and results, Which country will host AFCON 2023, AFCON 2023 qualifiers, AFCON 2023 qualifiers table, AFCON 2023 fixtures, AFCON 2023 qualifiers groups, Africa Cup of Nations draw 2023, AFCON 2024.

TBC Kuonesha Mechi zote za AFCON 2023/2024

TBC Kuonesha Mechi zote za AFCON 2023/2024, AFCON2023,KiputeMserereko, TBCupdates, TBCdigital, Ratiba ya afcon 2024 schedule, Ratiba ya AFCON 2023, Makundi ya AFCON 2023, Mechi za leo afcon 2023,Kundi la Tanzania AFCON 2023/24.

Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON 2023) zinatarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 13 January hadi 11 Februari 2024 huko Abidjan.

Mchezo wa Ufunguzi utawakutanisha wenyeji Ivory Coast dhidi ya Guinea-Bissau Jumamosi ya tarehe 13 January 2024 kwenye Uwanja wa Olimpiki wa Alassane Ouattara wa Ebimpe, mjini Abidjan.

Mechi hiyo itaanza saa 20h00 kwa saa za huko (GMT)

Michuano hiyo Itajumuisha Makundi Sita ya timu nne (A-F) huku timu mbili za Juu Kila Kundi zikifuzu moja kwa moja hatua ya 16 Bora.

Timu hizo 12 zitaunganga na timu nne zilizoshika nafasi ya tatu kutoka Makundi sita, zikiwa na vigezo vinavyozingatia Matokeo ya uso kwa uso.

Hatua ya Makundi itapigiwa Kuanzia January 13 hadi January 24, 2024, Raundi ya 16 Bora itaanza January 27 hadi January 30, huku Robo Fainali ikitarajiwa kupigwa February 2 na 3 na Nusu Fainali itapigwa February 7, 2024.

Mechi ya kutafuta Mshindi wa tatu itapigwa February 10, 2024 na Fainali itapigwa February 11, 2024

Shirika la Utangazi Tanzania (TBC) limesema kuwa litarusha mechi zote 52 za Michuano hiyo ya 34 na Mikubwa zaidi katika ardhi ya Afrika ambayo itapigwa kwenye viwanja vya Yamoussoukro, Bouake, San Pedro, na Korhogo.

TBC Kuonesha Mechi zote za AFCON 2023/2024z Mechi zote hizo utazitama Bure kupitia TBC1, TBC2 na kusikiliza kupitia TBC Taifa, TBC FM na mtandao wa YouTube wa TBC online.AFCON qualifiers, Africa Cup of Nations results 2023, AFCON fixtures, AFCON 2024 fixtures, AFCON 2023 qualifiers fixtures and results, Which country will host AFCON 2023, AFCON 2023 qualifiers, AFCON 2023 qualifiers table, AFCON 2023 fixtures, AFCON 2023 qualifiers groups, Africa Cup of Nations draw 2023, AFCON 2024.

Makundi ya AFCON 2023 

Group A: Ivory Coast, Nigeria, Equatorial Guinea, Guinea-Bissau.

Group B: Egypt, Ghana, Cape Verde, Mozambique.

Group C: Senegal, Cameroon, Guinea, The Gambia.

Group D: Algeria, Burkina Faso, Mauritania, Angola.

Group E: Tunisia, Mali, South Africa, Namibia.

Group F: Morocco, DR Congo, Zambia, Tanzania.

About 2023 Africa Cup of Nations

The 2023 African Cup of Nations, known for short as the 2023 AFCON or CAN 2023 and for sponsorship purposes as the TotalEnergies 2023 Africa Cup of Nations, is scheduled to be the 34th edition of the biennial African association football tournament organised by Confederation of African Football. It will be hosted by Ivory Coast for the second time and the first since 1984.

This edition of the tournament was initially planned to be the third since 2019 to take place during the Northern Hemisphere’s summer, in order to reduce scheduling conflicts with European club teams and competitions.

However it was postponed by CAF to 13 January – 11 February 2024 on 3 July 2022 due to the adverse summer weather concerns in Ivory Coast, whilst retaining the edition’s original name for sponsorship purposes.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

KWA HABARI ZAIDI DOWNLOAD APP YA NIJUZE HABARI HAPA


KUPATA NAMBA YA NIDA BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA


KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA [email protected]

About the author

Nijuze

Leave a Comment