Ajira

NAFASI za Kazi Kutoka Kampuni ya Mabasi ya Kidia One Investment LTD Juni 2024

NAFASI za Kazi Kutoka Kampuni ya Mabasi ya Kidia One Investment LTD Juni 2024, Kampuni ya Mabasi ya Kidia One Investment LTD inayofanya safari Mikoa ya Dar es salaam, Moshi, Arusha, Namanga na Nairobi – Kenya inatangaza nafasi za Kazi Kwa Makondakta wa Kike (Bus Hostess).

Muombaji Awe na sifa zifuatazo;

  • Awe ni raia wa Tanzania
  • Awe na umri kuanzia miaka 18 had 25
  • Awe amehitimu kidato Cha nne na kuendelea
  • Awe tayari kuwa na hati ya kusafiria (passport) na
  • Awe na Cheti cha Mafunzo Latra.

NB: Barua ya Maombi iambatane na barua ya Utambulisho Kutoka Serikali za Mitaa.

Maombi yatumwe kupitia S.L.P 12981 DAR ES SALAAM TANZANIA.
Shekilango Head Quarter

Mwisho wa Kutuma Maombi ni tarehe 30/06/2024.

KWA HABARI ZAIDI DOWNLOAD APP YA NIJUZE HABARI HAPA

KUPATA NAMBA YA NIDA BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA

KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA [email protected]

About the author

Nijuze

Leave a Comment