Usajili Michezo

MZAMIRU Asaini Mkataba Mpya Simba

MZAMIRU Asaini Mkataba Mpya Simba

MZAMIRU Asaini Mkataba Mpya Simba

MZAMIRU Asaini Mkataba Mpya Simba

MZAMIRU Asaini Mkataba Mpya Simba, Kiungo mkabaji wa Simba SC, Mzamiru Yassin amesaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kusalia klabuni hapo hadi 2026.

Mkataba wa Mzamiru umemalizika mwishoni mwa msimu huu na mapendekezo ya kiufundi yamependekeza mchezaji huyo kubaki kutokana na mchango wake, hivyo uongozi umemuongezea miaka mingine miwili ya kuendelea kusalia kikosi hapo.

Mzamiru ni sehemu ya mpango wa timu wa kusuka kikosi imara kwaajili ya msimu ujao wa Mashindano.

Aidha Mzamiru ni katika Wachezaji waandamizi waliodumu ndani ya Simba kwa muda mrefu zaidi akihudumu kwa miaka nane kwa kiwango bora na sifa yake kubwa ikiwa kujituma na usikivu.

KWA HABARI ZAIDI DOWNLOAD APP YA NIJUZE HABARI HAPA


KUPATA NAMBA YA NIDA BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA


KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA [email protected]

About the author

Nijuze

Leave a Comment