Michezo

MAKUNDI ya Mapinduzi Cup 2023/2024

MAKUNDI ya Mapinduzi Cup 2023/2024

MAKUNDI ya Mapinduzi Cup 2023/2024, Ratiba ya Mapinduzi Cup 2023-2024,Yanga yapangwa Kundi C Kombe la Mapinduzi 2023/2024, Simba yapangwa Kundi B Kombe la Mapinduzi 2023/2024,Mapinduzi cup 2024 fixtures,Ratiba Mapinduzi Cup 2024 Fixtures, Table, and Results - Matokeo,Ratiba Mapinduzi Cup 2024 Fixtures, Table and Results,Ratiba ya Mapinduzi Cup 2023-24 Teams Stage Matches,Ratiba Mapinduzi Cup 2024 Fixture Results Tazama Hapa, Makundi ya mapinduzi cup 2024 scheduleMakundi ya mapinduzi cup 2024 results Mapinduzi cup 2024 fixtures.

MAKUNDI ya Mapinduzi Cup 2023/2024

MAKUNDI ya Mapinduzi Cup 2023/2024, Ratiba ya Mapinduzi Cup 2023-2024,Yanga yapangwa Kundi C Kombe la Mapinduzi 2023/2024, Simba yapangwa Kundi B Kombe la Mapinduzi 2023/2024.

MWENYEKITI wa Kamati ya Mashindano ya Kombe la Mapinduzi 2024, Mbarouk Othman ametangaza Makundi ya timu zitakazoshiriki Mashindano ya Kombe la Mapinduzi Mjini Zanzibar.

Akiwa visiwani Zanzibar, Othman amesema kuwa Mashindano ya mwaka huu yatakuwa katika mgawanyo wa Makundi matatu, A, B na C.

Kundi-A litahusisha vilabu vya Vital’o, Azam FC, Chipukizi United na Mlandege FC.

Kundi-B likijumuisha timu ya Simba SC, JKU SC, APR SC ya Rwanda na Singida Fountain Gate.

Mashindano hayo yanatarajiwa kuanza December 28, 2023 na kutamatika January 13, 2024 huku yakijumuisha timu 12.

Aidha Mashindano ya Mapinduzi ni sehemu ya Sherehe za Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Zanzibar, yaliyoondoa Madarakani Utawala wa Sultan mnamo January 12, 1964.

MAKUNDI yote ya Mapinduzi Cup 2023/2024

Kundi A

 • Vital’o
 • Azam FC
 • Chipukizi United
 • Mlandege FC

Kundi B

 • JKU SC
 • Simba SC
 • Singida FG
 • APR FC

Kundi C

 • KVZ FC
 • Yanga SC
 • Jamus FC
 • Jamhuri SC

Mapinduzi cup 2024 fixtures,Ratiba Mapinduzi Cup 2024 Fixtures, Table, and Results – Matokeo,Ratiba Mapinduzi Cup 2024 Fixtures, Table and Results,Ratiba ya Mapinduzi Cup 2023-24 Teams Stage Matches,Ratiba Mapinduzi Cup 2024 Fixture Results Tazama Hapa, Makundi ya mapinduzi cup 2024 schedule
Makundi ya mapinduzi cup 2024 results
Mapinduzi cup 2024 fixtures.

Kuhusu Mapinduzi Cup Zanzibar 

Mapinduzi Cup ni Mashindano ya soka ya mtoano Zanzibar. Mapinduzi kwa maana ya Mapinduzi kwa kutambua Mapinduzi ya Zanzibar.

Mapinduzi Cup ni Mashindano yaliyoundwa na Shirikisho la Soka Zanzibar kuadhimisha siku ya Mapinduzi ya Zanzibar ambayo huadhimishwa kila mwaka tarehe 12 Januari.

Mashindano haya yalifanyika Kwa mara ya Kwanza mwaka wa 1998. Hata hivyo, kombe hilo huchezwa kati ya vilabu vya zanzibari pamoja na vilabu kutoka Tanzania Bara.

Tangu 2013 vilabu kutoka Kenya na Uganda vimealikwa kushiriki mara kwa mara. Pamoja na Kombe la Zanzibar na Kombe la Nyerere, michuano hiyo mitatu ndiyo michujo Mikuu ya mtoano visiwani Zanzibar.

Champions

YearWinnersResultsRunner-upsRef.
1998
Jamhuri
2 – 1
Shangani SC
2001
Polisi SC
2002
KMKM
2004
Young Africans SC
2 – 1
Mtibwa Sugar
2005
Mafunzo FC
2 – 0
JKU SC
2006
not held
2007
Malindi SC
2 – 0
Miembeni SC
2008
Miembeni SC
2 – 1
Polisi SC
2009
not held
2010
Mtibwa Sugar
1 – 0
Ocean View FC
2011
Simba SC
2 – 0
Young Africans SC
2012
Azam FC
3 – 1
Jamhuri
2013
Azam FC
2 – 1
Tusker FC
2014
Kampala City Council
1 – 0
Simba SC
2015
Simba SC
0 – 0 (4–3 pen.)
Mtibwa Sugar
2016
Uganda Revenue Authority
3 – 1
Mtibwa Sugar
2017
Azam FC
1 – 0
Simba SC
2018
Azam FC
0 – 0 (4–3 pen.)
Uganda Revenue Authority
2019
Azam FC
2– 1
Simba SC
2020
Mtibwa Sugar
1–0
Simba SC
2021
Young Africans
0–0 (4–3 pen.)
Simba SC
2022
Simba SC
1 – 0
Azam FC
2023
Mlandege FC
2 – 1
Singida Big Stars

Winner by club

ClubNumberYears
Azam FC
5
2012, 2013, 2017, 2018, 2019
Simba SC
3
2011, 2015, 2022
Mtibwa Sugar
2
2010, 2020
Young Africans SC
2
2004, 2021
Jamhuri
1
1998
Polisi SC
1
2001
KMKM
1
2002
Mafunzo FC
1
2005
Malindi SC
1
2007
Miembeni SC
1
2008
Kampala City Council
1
2014
Uganda Revenue Authority
1
2016
Mlandege FC
1
2023

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

KWA HABARI ZAIDI DOWNLOAD APP YA NIJUZE HABARI HAPA


KUPATA NAMBA YA NIDA BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA


KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA [email protected]

About the author

Nijuze

Leave a Comment