Ajira

MAJINA ya Walioitwa kwenye Usaili RUWASA Kyela June 24-2024

MAJINA ya Walioitwa kwenye Usaili RUWASA Kyela June 24-2024

MAJINA ya Walioitwa kwenye Usaili RUWASA Kyela June 24-2024

MAJINA ya Walioitwa kwenye Usaili RUWASA Kyela June 24-2024

MAJINA ya Walioitwa kwenye Usaili RUWASA Kyela June 24-2024,Meneja wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Wilaya ya Kyela kwa niaba ya vyombo vya watoa huduma ya maji ngazi ya jamii vya MTM, KAPAPA, NGAMANGA NA NDOMAMA anawatangazia wafuatao kufika kwenye usaili wa nafasi ya Msimamizi wa chombo (Supervisor) na nafasi ya Mhasibu wa chombo utakaofanyika tarehe 04 Julai 2024 siku ya Alhamisi katika ukumbi wa wa Kasala Motel uliopo Kyela Mjini kuanzia saa 3.00 asubuhi bila kukosa.

Aidha wasailiwa wote wanatakiwa kufika na:-

  • Vyeti halisi (original) vya elimu, taaluma na/au ujuzi alionao b) Kitambulisho halisi (Original) cha uraia au kadi ya mpiga kura au cheti cha kuzaliwa.
  • Kila Msailiwa atajigharamia kwa Usafiri, chakula pamoja na Malazi.
  • Aidha matumizi ya simu hayataruhusiwa katika ukumbi wa Usaili.

Waombaji ambao hawaonekani katika orodha iliyoambatanishwa na Tangazo hili watambue kuwa hawakufanikiwa kuitwa.

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI RUWASA

KWA HABARI ZAIDI DOWNLOAD APP YA NIJUZE HABARI HAPA


KUPATA NAMBA YA NIDA BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA


KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA [email protected]

About the author

Nijuze

Leave a Comment