Ajira Michezo

MAJINA ya Walioitwa kwenye Usaili Ajira za INEC 2024

MAJINA ya Walioitwa kwenye Usaili Ajira za INEC 2024

MAJINA ya Walioitwa kwenye Usaili Ajira za INEC 2024, Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Ajira za NEC 2024, Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Ajira za NEC Uboreshaji Daftari la Wapiga Kura 2024, Kuitwa Kwenye Usaili Ajira za NEC Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura 2024.

MAJINA ya Walioitwa kwenye Usaili Ajira za INEC 2024

MAJINA ya Walioitwa kwenye Usaili Ajira za INEC 2024, Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Ajira za NEC 2024, Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Ajira za NEC Uboreshaji Daftari la Wapiga Kura 2024, Kuitwa Kwenye Usaili Ajira za NEC Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura 2024.

NEC Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Kassim Majaliwa anatarajiwa kuzindua rasmi zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura nchini July 20-2024.

Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele uzinduzi huo utafanyika rasmi mkoani Kigoma.

Vile vile, siku ya uzinduzi ndiyo siku ambayo pia Uboreshaji utaanza katika Mkoa wa Kigoma, Katavi, Tabora, Kagera na Geita na baadae mikoa mingine.

Kuelekea zoezi hilo la Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura, Nijuze Habari inakuleta Orodha ya Majina ya Wanaoitwa Kwenye Usaili Nafasi ya Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji wa Vifaa vya Bayometriki Uboreshaji Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Kutoka Halmashauri na Majimbo yote chini Tanzania.

Kupata Majina hayo utafungua jina la Halmashauri au Jimbo lako uliloombea hapa chini;

NEC Selected Applicants Jobs Tanzania 2024

 1. KUITWA KWENYE USAILI JIMBO LA NYANG’HWALE
 2. KUITWA KWENYE USAILI INEC JIMBO LA BIHARAMULO MAGHARIBI
 3. KUITWA KWENYE USAILI INEC JIMBO LA BUKOBA VIJIJINI.
 4. KUITWA KWENYE USAILI INEC JIMBO LA MULEBA KUSINI NA KASKAZINI
 5. KUITWA KWENYE USAILI JIMBO LA NKENGE, MISENYI.
 6. KUITWA KWENYE USAILI INEC JIMBO LA KYERWA
 7. KUITWA KWENYE USAILI INEC JIMBO BUKOBA MJINI
 8. KUITWA KWENYE USAILI INEC JIMBO LA KARAGWE
 9. KUITWA KWENYE USAILI INEC MPANDA MJINI
 10. KUITWA KWENYE USAILI JIMBO LA NZEGA VIJIJINI  JULY 08-2024
 11. KUITWA KWENYE USAILI JIMBO LA BUKENE JULY 08-2024
 12. KUITWA KWENYE USAILI JIMBO LA URAMBO July 2024
 13. KUITWA KWENYE USAILI JIMBO LA NSIMBO JULY 06 2024
 14. KUITWA KWENYE USAILI TABORA MJINI JULY 2024
 15. KUITWA KWENYE USAILI INEC KIGOMA UJIJI JUNE 16-2024
 16. MAJINA KUITWA KWENYE USAILI  JIMBO LA KASULU VIJIJINI June 17-2024
 17. KUITWA KWENYE USAILI JIMBO LA BUYUNGU KAKONKO JUNE 18-2024
 18. KUITWA KWENYE USAILI UVINZA JUNE 18-2024
 19. KUITWA KWENYE USAILI WILAYA YA KIBONDO JUNE 19-2024 

Majina mengine ya Halmashauri zingine tutaendelea kukuwekea hapa kadri yanavyoka.

Majina ya walioitwa kwenye usaili NEC,Majina ya waliochaguliwa daftari la kudumu la wapiga kura 2024,Majina ya waliochaguliwa nec,Kuitwa Kwenye Usaili NEC, Kuitwa Kwenye Usaili NEC 2024, Walioitwa kwenye Usaili Ajira za NEC 2024.


MAJINA ya Walioitwa kwenye Usaili Ajira za INEC 2024, Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Ajira za NEC 2024, Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Ajira za NEC Uboreshaji Daftari la Wapiga Kura 2024, Kuitwa Kwenye Usaili Ajira za NEC Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura 2024.

NEC Yaanzisha Mfumo wa Kupata Kitambulisho Online OVRS

NEC Yaanzisha Mfumo wa Kupata Kitambulisho Online OVRS, NEC Yaanzisha Mfumo wa Kupata Kitambulisho Cha Mpiga Kura Mtandao, Jinsi ya Kujiandikisha Kupata Kitambulisho Cha Mpiga Kura Online, Online Voters Registration System (OVRS) Tanzania,Mfumo wa Uboreshaji wa Taarifa za Mpiga Kura Mtandaoni

MFUMO WA KUANZISHA MCHAKATO WA KUBORESHA TAARIFA ZA MPIGA KURA

Ndugu mpiga kura, anzisha mchakato wa awali wa kuboresha taarifa za mpiga kura kwa njia ya mtandao.

Baada ya kukamilisha hatua hii utapaswa kufika katika kituo cha kujiandikisha ndani ya kata husika kwaajili ya kumalizia mchakato na kupewa kadi ya Mpiga Kura.

Uboreshaji wa taarifa utahusisha kurekebisha au kubadili taarifa binafsi, kuhama kituo na kurekebisha au kubadili taarifa binafsi na kuhama kituo kwa kubonyeza kitufe husika.

MAELEKEZO YA KUREKEBISHA AU KUBADILI TAARIFA BINAFSI

Kurekebisha au kubadili taarifa binafsi, mpiga kura atapaswa kufanya yafuatayo:

 • kujaza namba ya mpiga kura;
 • kujaza mwaka wa kuzaliwa;
 • kujaza namba ya kitambulisho cha Taifa (NIDA); na
 • kujaza namba ya simu inayotumika kwa sasa.

Taarifa zitakazopatikana baada ya kujaza namba ya kitambulisho cha Taifa (NIDA) ndizo zitakazotumika kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.

MAELEKEZO YA KUHAMA KITUO

Kuhamisha taarifa za Mpiga Kura kutoka eneo moja la kiuchaguzi kwenda eneo lingine, mpiga kura atapaswa kufanya yafuatayo: –

 • kujaza namba ya mpiga kura ;
 • kujaza mwaka wa kuzaliwa;
 • kujaza namba ya simu inayotumika kwa sasa; na
 • kuchagua kata anayotaka kuhamia.
 • Mpiga kura atachagua kata anayotaka kuhamia na itampasa kufika kwenye kituo cha kata husika ili kukamilisha mchakato na kupewa kadi.

MAELEKEZO YA KUREKEBISHA AU KUBADILI TAARIFA BINAFSI NA KUHAMA KITUO

Kurekebisha au kubadili taarifa binafsi na kuhamisha taarifa kutoka kituo cha awali kwenda kituo kingine, mpiga kura anapaswa kufanya yafuatayo: –

 • kujaza namba ya mpiga kura;
 • kujaza mwaka wa kuzaliwa;
 • kujaza namba ya kitambulisho cha Taifa (NIDA); na
 • kujaza namba ya simu inayotumika kwa sasa.

Taarifa zitakazopatikana baada ya kujaza namba ya kitambulisho cha Taifa (NIDA) ndizo zitakazotumika kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.

BONYEZA HAPA KUANZISHA MCHAKATO WA KUBORESHA TAARIFA ZA MPIGA KURA

NEC Yaanzisha Mfumo wa Kupata Kitambulisho Online OVRS


HISTORIA YA TUME HURU YA UCHAGUZI NEC

Mwaka 1991, aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Ali Hassan Mwinyi aliteua Tume chini ya Uenyekiti wa Hayati Jaji Mkuu Mstaafu Francis Nyalali.

Madhumuni ya Tume hiyo ilikuwa ni kukusanya maoni ya wananchi juu ya kuendelea na mfumo wa chama kimoja au kuwa na mfumo wa vyama vingi vya siasa. Kutokana na ripoti ya Tume hiyo, ibara ya 3(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, ilirekebishwa na kufanya Tanzania kuwa Taifa linalofuata mfumo wa vyama vingi vya siasa.

Vilevile, Sheria ya Vyama vya Siasa, (Na. 5 ya 1992) ilitungwa ili kuwezesha usajili wa vyama vya siasa. Pia, Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, (Na.1 ya 1985) na Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa, (Na. 4 ya 1979) zilirekebishwa ili kuondokana na mfumo wa chama kimoja na kuruhusu kufanyika kwa Uchaguzi chini ya mfumo wa vyama vingi vya siasa. Baada ya marekebisho hayo, Tume ya Taifa ya Uchaguzi ilianzishwa tarehe 13 Januari, 1993.

Aidha, mwaka 2021 ulifanyika Mkutano wa Wadau wa Kujadili Hali ya Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa nchini Tanzania. Pamoja na mambo mengine, mkutano huo ulitoka na azimio la kuboresha mfumo wa uchaguzi nchini.

Hivyo, tarehe 23 Desemba 2021, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan aliunda kikosi kazi cha kutathmini hali ya demokrasia ili kutoa mapendekezo ya kuboresha masuala ya demokrasia na hali ya kisiasa nchini.

Kikosi kazi, kilitoa mapendekezo ya kufanyika kwa maboresho ya Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343 na Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa, Sura ya 292. Maboresho hayo yalisababisha kutungwa kwa Sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Na. 2 ya Mwaka 2024 na Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024.

Kufuatia kutungwa kwa Sheria hizo, jina la Tume ya Taifa ya Uchaguzi lilibadilika na kuwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi.

TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imeanzishwa kwa mujibu wa ibara ya 74(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977. Kwa kuzingatia masharti ya ibara ya 74(7) na (11) ya Katiba na kifungu cha 6(1) cha Sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Na. 2 ya Mwaka 2024, Tume ni idara huru inayojitegemea na inafanya maamuzi yake rasmi kuhusu utekelezaji wa majukumu yake kwa vikao.

Katika kutekeleza majukumu yake ya kikatiba, Tume haitalazimika kufuata amri au maagizo ya mtu yeyote au idara yoyote ya Serikali au maoni ya chama chochote cha siasa.

KWA HABARI ZAIDI DOWNLOAD APP YA NIJUZE HABARI HAPA


KUPATA NAMBA YA NIDA BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA


KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA [email protected]

About the author

Nijuze

Leave a Comment

13 Comments