Ajira

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI Leo June 14-2024

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI Leo June 14-2024

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI Leo June 14-2024, Orodha ya Waliopangiwa Vituo Vya Kazi Kutoka Taasisi Mbalimbali za UMMA Leo June 14-2024, Orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini UTUMISHI Leo June 14-2024, Kuitwa Kazini UTUMISHI Leo June 14-2024.

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI Leo June 14-2024

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI Leo June 14-2024, Orodha ya Waliopangiwa Vituo Vya Kazi Kutoka Taasisi Mbalimbali za UMMA Leo June 14-2024, Orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini UTUMISHI Leo June 14-2024, Kuitwa Kazini UTUMISHI Leo June 14-2024.

TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 14-06-2024

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 17-06-2023 na tarehe 30-04-2024
kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.

Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye
kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwenye Majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Masjala ya wazi ndani ya siku
saba kutoka tarehe ya tangazo hili na baada ya hapo barua ambazo hazitachukuliwa na wahusika zitatumwa kupitia anuani zao za Posta.

Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira.

Kwa wale ambao majina yao hayapo
katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.

MUHIMU:
Wanaokuja kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi wanapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;

Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria, Kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi, Kitambulisho cha Mpiga kura au Leseni ya Udereva.

BOFYA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA YA WALIOITWA KAZINI KUTOKA TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 14-06-2024

KWA HABARI ZAIDI DOWNLOAD APP YA NIJUZE HABARI HAPA


KUPATA NAMBA YA NIDA BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA


KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA [email protected]

About the author

Nijuze

Leave a Comment