Habari Makala

KALENDA Ya Mihula Ya Masomo 2023/2024

KALENDA Ya Mihula Ya Masomo 2023/2024

KALENDA Ya Mihula Ya Masomo 2023/2024, Mihula ya Masomo 2023/2024 Shule za Sekondari, Mihula ya Masomo 2023/2024 Shule za Msingi, Mihula ya Masomo 2023/2024 Shule za Awali, Tanzania Schools Academic Calendar 2023/2024 for Pre primary, Schools Academic Calendar 2023/2024 for primary, Schools Academic Calendar 2023/2024 for Secondary schools.

Kwa kuzingatia umuhimu wa kuwa na idadi sahihi ya siku za masomo, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeandaa Kalenda ya Mihula ya Masomo kwa Shule za Awali, Shule za Msingi na Sekondari kwa Mwaka 2024..

Kalenda hiyo inaonyesha ni siku ngapi Mwanafunzi atahudhuria Shule katika Muhula.

Aidha Kalenda ya Taaluma ya Shule za Tanzania imegawanywa katika mihula Mikuu Miwili kwa shule za Awali, Shule za Msingi na Sekondari, zinazoanza January 08 hadi Desemba 6,2024.

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inasema kuwa ni Muhimu kuzingatia Utekelezaji wa Kalenda husika kwa Ufanisi ili kuepuka changamoto ya kutokamilisha Ufundishaji na Ujifunzaji wa mada zote kwa wakati na hivyo kulazimika kuweka mipango ya ufundishaji na ujifunzaji inayowanyima Watoto/Wanafunzi fursa ya kupumzika na kushiriki kikamilifu katika shughuli za Kijamii katika Famila na Jamii zao.

Kalenda ya Mihula ya Masomo kwa Shule za Awali, Msingi na Sekondari kwa Mwaka 2024 ni kama ifuatavyo:

KALENDA Ya Mihula Ya Masomo 2023/2024, Mihula ya Masomo 2023/2024 Shule za Sekondari, Mihula ya Masomo 2023/2024 Shule za Msingi, Mihula ya Masomo 2023/2024 Shule za Awali, Tanzania Schools Academic Calendar 2023/2024 for Pre primary, Schools Academic Calendar 2023/2024 for primary, Schools Academic Calendar 2023/2024 for Secondary schools.

KALENDA Ya Mihula Ya Masomo 2023/2024

Mashindano ya UMITASHUMTA yatafanyika tarehe 02/06/2024 hadi 15/06/2024, na UMISSETA yatafanyika tarehe 16/06/2024 hadi 29/06/2024.

Mashindano ya Michezo ya Shule za Sekondari za Afrika Mashariki (FEASSSA) yatafanyika tarehe 14/08/2024 hadi 25/08/2024 nchini Uganda.

WARAKA WA ELIMU NA. 3 WA MWAKA 2023 KUHUSU KALENDA YA MIHULA YA MASOMO KWA SHULE ZA AWALI, MSINGI NA SEKONDARI KWA MWAKA 2024 DOWNLOAD PDF

KALENDA Ya Mihula Ya Masomo 2023/2024, Mihula ya Masomo 2023/2024 Shule za Sekondari, Mihula ya Masomo 2023/2024 Shule za Msingi, Mihula ya Masomo 2023/2024 Shule za Awali, Tanzania Schools Academic Calendar 2023/2024 for Pre primary, Schools Academic Calendar 2023/2024 for primary, Schools Academic Calendar 2023/2024 for Secondary schools.

KALENDA Ya Mihula Ya Masomo 2023/2024

Kalenda ya masomo 2023 pdf, mihula ya masomo 2023/2024, TAMISEMI kalenda ya Masomo 2023, Kalenda ya masomo 2024, Kalenda ya masomo 2023 dates, Kalenda ya masomo 2023 calendar, Mihula ya Masomo 2024 PDF, Likizo za shule 2023, mihula ya masomo 2023/2024, Kalenda ya ufundishaji 2024, Tarehe ya kufungua shule 2024, Mfano wa kalenda ya shule 2024.

Kuhusu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia ina Jukumu la kusimamia na kuratibu utoaji wa Elimu nchini kwa kuandaa Sera, Sheria na Miongozo mbalimbali kutoka ngazi ya Elimu ya Awali hadi Elimu ya Juu.

Aidha, Wizara ina jukumu la kusimamia na kuratibu maendeleo ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu; pamoja na matumizi yake katika nyanja mbalimbali ikiwemo Biashara, Viwanda, Kilimo na Maisha ya kila siku kwa ujumla.

Kwa mujibu wa Hati idhini iliyotolewa tarehe 22 Aprili 2016, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknoloji inatekeleza majukumu yafuatayo:

Kutunga na kutekeleza Sera za Elimu, Sayansi, Utafiti, Huduma za Maktaba, Sayansi, Teknolojia, Ubunifu na Uendelezaji wa Mafunzo ya Ufundi;

Kuendeleza Elimumsingi kwa kutoa Ithibati ya Mafunzo ya Ualimu na Maendeleo ya kitaalamu ya Walimu;

Kubainisha Vipaji na kuviendeleza;

Kusimamia Uendelezaji wa Mafunzo katika Vyuo vya Maendeleo ya Wananchi;

Kusimamia Mfumo wa Tuzo wa Taifa;

Kuainisha Mahitaji ya Nchi katika Ujuzi na Kuuendeleza;

Kuweka Viwango vya Taaluma ya Ualimu;

Kusimamia Ithibati na Uthibiti wa Shule;

Kusimamia Huduma za Machapisho ya kielimu;

Kutegemeza/Kuimarisha Utumiaji wa Sayansi, Uhandisi, Teknolojia na Hisabati;

Kuendeleza Wataalamu wa ndani katika Sayansi, Teknolojia na Ubunifu:

Utafiti katika Sayansi na Teknolojia;

Uendelezaji wa Rasilimaliwatu na Uongezaji Tija ya Watumishi walio chini ya Wizara; na

Kuratibu Shughuli za Idara, Mashirika, Wakala, Programu na Miradi iliyo chini ya Wizara.

KALENDA Ya Mihula Ya Masomo 2023/2024, Mihula ya Masomo 2023/2024 Shule za Sekondari, Mihula ya Masomo 2023/2024 Shule za Msingi, Mihula ya Masomo 2023/2024 Shule za Awali, Tanzania Schools Academic Calendar 2023/2024 for Pre primary, Schools Academic Calendar 2023/2024 for primary, Schools Academic Calendar 2023/2024 for Secondary schools.

KALENDA Ya Mihula Ya Masomo 2023/2024

Malengo Ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia

Ili kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imejiwekea malengo yafuatayo:

Kuongeza Fursa na Ubora wa Elimu na mafunzo katika ngazi zote;

Kutunga na kutekeleza Sera za Elimu, Utafiti, Huduma za Maktaba, Sayansi, Teknolojia, Ubunifu na Uendelezaji wa Mafunzo ya Ufundi

Kuimarisha Ushirikiano wa Kikanda na Kimataifa katika Elimu, Sayansi na Teknolojia;

Kuratibu na kuimarisha maendeleo ya Utafiti na Ubunifu kwa ajili ya Kukuza Uchumi wa Jamii na Maendeleo ya Viwanda;

Kuongeza matumizi na mafunzo pamoja na kuweka kanuni za kuwezesha matumizi salama ya Teknolojia na Nyuklia;

Kukusanya rasilimali fedha na kuongeza uwekezaji katika Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ubunifu pamoja na miundombinu;

Kuimarisha masuala ya Menejimenti ya Habari katika Sekta ya Elimu pamoja na Ujifunzaji wa Kielektroniki (E-learning);

Kuimarisha mazingira ya kazi ili kuongeza tija na ufanisi katika utoaji wa huduma; na

Kushughulikia Masuala Mtambuka katika Sekta ya Elimu.

Historia ya Elimu Tanzania Bara imegawanyika katika sehemu mbili ambazo ni kabla na baada ya uhuru. Kabla ya kuja kwa wageni katika mwambao wa Tanganyika, kila kabila lilikuwa na mfumo wake wa elimu ya kijadi. Elimu ya Kijadi ilitokana na taratibu za kila siku za jamii za makabila mbalimbali.

Elimu hiyo iliyojumuisha maarifa, stadi, maadili, utamaduni, mbinu na taratibu nzuri za kufanya kazi na kujilinda kutokana na mabaa ya njaa, magonjwa na maadui wa usalama wa jamii na wa mali zao ilirithishwa kutoka kizazi kimoja hadi kingine.

Mambo ya kujifunza yaligawanyika kirika na kutolewa na watu wazima nyumbani, kazini na katika nyanja nyingine za maisha. Mfumo huu ulianza kuwa na mabadiliko katika malengo na utoaji wake tangu wakoloni walipoingia nchini.

Elimu Wakati wa Ukoloni: Wageni wa kwanza Tanzania Bara walikuwa Waarabu, wakifuatiwa na Wareno, Wajerumani na Waingereza. Kwa kuwa wageni hao walipokezana madaraka ya sehemu ya nchi au nchi nzima, kila kundi lilibadili mfumo wa elimu kulingana na matakwa yao bila kujali yale yaliyokuwa na manufaa kwa Watanzania Bara.

Shule za mataifa mbalimbali zilitofautiana katika malengo, mitaala, sifa na taaluma za walimu, lugha ya kufundishia, na ubora wa majengo ya shule na nyumba za walimu.

Waarabu walipoingia walianzisha mafunzo ya Quran. Elimu hii ilitia mkazo uenezi wa dini ya Kiislamu na Utamaduni wa Kiarabu. Utawala wa Kijerumani na Kiingereza ulitanguliwa na ujio wa Wamisionari. Walipofika, Wamisionari walitoa elimu kufuatana na imani yao na historia ya nchi walikotoka. Elimu ya Wamisionari ilisisitiza uenezi wa dini ya Kikristo.

Utawala wa Kijerumani ulitoa elimu iliyotilia mkazo stadi, maarifa na mafunzo ya kazi na uraia mwema kwa Serikali ya Ujerumani. Mfumo wa elimu ya Waingereza katika Tanzania Bara ulikuwa na misingi ya ubaguzi wa rangi na ulitoa nafasi na nyenzo bora zaidi za elimu kwa watoto wa Kizungu na Kiasia kuliko Waafrika.

Lengo kubwa la elimu lilikuwa ni kupata watumishi Waafrika ambao wangetumika katika kutetea matakwa ya wakoloni, na hivyo kuwafanya wasomi kuwa tegemezi.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

KWA HABARI ZAIDI DOWNLOAD APP YA NIJUZE HABARI HAPA

KUPATA NAMBA YA NIDA BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA

KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA [email protected]

About the author

Nijuze

Leave a Comment