Usajili Michezo

Joshua Mutale Mchezaji Mpya Simba 2024/2025

Joshua Mutale Mchezaji Mpya Simba 2024/2025

Joshua Mutale Mchezaji Mpya Simba 2024/2025

Joshua Mutale Mchezaji Mpya Simba 2024/2025

Joshua Mutale Mchezaji Mpya Simba 2024/2025,Simba yamsajili Joshua Mutale, CV ya Joshua Mutale Mchezaji mpya wa Simba 2024,Wachezaji waliosajiliwa na Simba SC 2024/2025, Wachezaji wapya wa Simba 2024/2025.

Klabu ya Simba imekamilisha usajili wa winga, Joshua Mutale Mutale mwenye umri wa miaka 22 kutoka Power Dynamos ya kwao Zambia.

Joshua Mutale amekuwa mchezaji tegemeo katika kikosi cha Power Dynamos na amejijengea jina kwa uwezo wake mkubwa wa kucheza kama winga.

Joshua Mutale Mchezaji Mpya wa Simba 2024

Joshua Mutale Mchezaji Mpya wa Simba 2024

Katika msimu uliopita wa Ligi Kuu ya Zambia, Mutale alifanikiwa kufunga mabao 8, akionyesha uwezo wake wa kufunga, huku akiisaidia timu yake kutengeneza nafasi nyingi za kufunga.

Usajili wa Mutale mzaliwa wa January 24-2002 ambaye amesaini mkataba wa miaka mitatu unakuwa usajili wa kwanza wa Simba SC Kuelekea Msimu Mpya wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara (NBC Premier League 2024/2025) na Mashindano mengine.

J. Mutale – Profile with news, career statistics and history, Sorare,bJoshua Mutale – Player Profile.

KWA HABARI ZAIDI DOWNLOAD APP YA NIJUZE HABARI HAPA


KUPATA NAMBA YA NIDA BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA


KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA [email protected]

About the author

Nijuze

Leave a Comment