Usajili Michezo

ISRAEL Mwenda Asaini Mkataba Mpya Simba

ISRAEL Mwenda Asaini Mkataba Mpya Simba

ISRAEL Mwenda Asaini Mkataba Mpya Simba

ISRAEL Mwenda Asaini Mkataba Mpya Simba

ISRAEL Mwenda Asaini Mkataba Mpya Simba, Mlinzi, Israel Patrick Mwenda amesaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kusalia katika kikosi cha Simba SC.

Israel mwenye umri wa miaka 24, ambaye anamudu kucheza kama mlinzi wa kulia na kushoto alijiunga na Simba mwaka Julai, 2021 akitokea KMC FC.

Israel ni miongoni mwa wachezaji ambao Simba inaamini katika uwezo wake na katika kujenga timu mpya kuelekea msimu ujao wa 2024/25.

Israel Mwenda ni mchezaji kijana ambaye bado ana nguvu ya kuitumikia timu na uwezo alionao umeifanya Simba itarajie makubwa kutoka kwake na ataendelea kusalia Simba hadi 2026.

Uongozi wa Simba unaendelea kuwapa mikataba wachezaji ambao wataendelea nao kwa kuwa wanahitaji kusuka upya kikosi Chao.

ISRAEL Mwenda Asaini Mkataba Mpya Simba

KWA HABARI ZAIDI DOWNLOAD APP YA NIJUZE HABARI HAPA


KUPATA NAMBA YA NIDA BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA


KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA [email protected]

About the author

Nijuze

Leave a Comment