Michezo

AMROUCHE Aita 53 Kikosi Cha Taifa Stars AFCON 2024

AMROUCHE Aita 53 Kikosi Cha Taifa Stars AFCON 2024

AMROUCHE Aita 53 Kikosi Cha Taifa Stars AFCON 2024,Majina ya Wachezaji Walioitwa Kikosi Cha Taifa Stars Fainali za AFCON 2024, Kikosi cha taifa stars afcon 2024 results, Kikosi cha Taifa Stars Leo,Jina Tarryn lajumuishwa Taifa Stars kuelekea AFCON,Kikosi cha awali cha Taifa Stars kwa ajili ya AFCON 2023, Wachezaji Walioitwa Kikosi Cha Taifa Stars 2024 AFCON.

AMROUCHE Aita 53 Kikosi Cha Taifa Stars AFCON 2024

AMROUCHE Aita 53 Kikosi Cha Taifa Stars AFCON 2024,Majina ya Wachezaji Walioitwa Kikosi Cha Taifa Stars Fainali za AFCON 2024, Kikosi cha taifa stars afcon 2024 results, Kikosi cha Taifa Stars Leo,Jina Tarryn lajumuishwa Taifa Stars kuelekea AFCON,Kikosi cha awali cha Taifa Stars kwa ajili ya AFCON 2023, Wachezaji Walioitwa Kikosi Cha Taifa Stars 2024 AFCON.

Majina ya wachezaji 53′ walioitwa kwenye kikosi cha awali cha timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars kuelekea Fainali za AFCON Januari 2024.

KOCHA Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Adel Amrouche ameita Majina ya Wachezaji 53 kwaajili ya Kikosi cha awali cha timu ya taifa ya Tanzania, (Taifa Stars) kuelekea Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2024) zitakazofanyika kuanzia January 13 hadi February 11 2024 nchini Ivory Coast.

Kwa Mujibu wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), idadi hiyo itapunguzwa hadi Wachezaji 27, ingawa ni 23 tu watakaoruhusiwa kucheza Fainali hizo za tatu kwa Taifa Stars baada ya mwaka 1980 nchini Nigeria na 2019 nchini Misri, kote wakitolewa hatua ya Makundi.

Taifa Stars imepangwa Kundi F pamoja na Morocco, Zambia na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Kikosi Kamili Cha Taifa Stars Kilichoitwa kwaajili ya AFCON 2024 Ivory Coast.

MAKIPA

 • 1Beno David Kakolanya – Singida FG, Tanzania.
 • 2:Aishi Salum Manula Simba SC, Tanzania.
 • 3:Aboutwaleeb Mshery – Yanga, Tanzania.
 • 4:Kwesi Zion Pira Kawawa – IFK Haninge, Sweden.
 • 5:Metacha Boniphace Mnata – Yanga, Tanzania.

MABEKI

 • 6:Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ – Simba SC, Tanzania.
 • 7:Kennedy Wilson Juma – Simba SC, Tanzania.
 • 8:Dickson Nickson Job – Yanga SC, Tanzania.
 • 9:Bakari Nondo Mwamnyeto – Yanga SC, Tanzania.
 • 10:Ibrahim Abdallah Hamad ‘Bacca’ – Yanga SC, Tanzania.
 • 11:Lusajo Elukaga Mwaikenda – Azam FC, Tanzania.
 • 12:Nickson Clement Kibabage – Yanga SC, Tanzania.
 • 13:Haji Mnoga – Aldershot Town, England.
 • 14:Abdi Hassan Banda – Richards Bay FC, Afrika Kusini.
 • 15:Zion Chebe Alban Nditi – Aldershot Town, England.
 • 16:Israel Mwenda – Simba SC, Tanzania.
 • 17:Adam Kasa – IFK haninge, Sweden.
 • 18:Lameck Lawi – Coastal Union FC, Tanzania.
 • 19:Abdulmarick Zacharia – Namungo FC, Tanzania.
 • 20:Reborto Yohana Nditi – Fofar Athletic, Scotland.
 • 21:Miano Danilo – Villena CF, Spain.
 • 22:Mack John – Kingston, Australia.
 • 23:Edwin Charles Balua – Tanzania Prisons, Tanzania.
 • 24: Novatus Dismas – FC Shakhar Donetsk, Ukraine.

VIUNGO

 • 25:Himid Mao Mkami – Talaea El Gish, Misri.
 • 26:Adolf Bitegeko – Volsungur IF, Iceland.
 • 27:Yusuph Kagoma – Singida FG, Tanzania.
 • 28:Baraka Gamba Majogoro – Chippa United, Afrika Kusini.
 • 29:Feisal Salum Abdallah -Azam FC, Tanzania.
 • 30: Mohamed Alli Omary – Boreham Wood, England.
 • 31:Twariq Abdilahi – Telford United, England.
 • 32:Morice Michael Abraham -RFK Novi Sad, Serbia.
 • 33:Mzamiru Yassin Said – Simba SC, Tanzania.
 • 34:Khleffin Hamdoun – Muscat Club, Oman.
 • 35:Kibu Denis Prosper – Simba SC, Tanzania.
 • 36:Said Hamis – Jedinstov Ub, Serbia.
 • 37:Tarryan Allarakhia – Wealdstone, England.
 • 38:Sospeter Israel Bajana – Azam FC, Tanzania.
 • 39:Mudathir Yahya Abbas -Yanga SC, Tanzania.

WASHAMBULIAJI

 • 40:Crypian Kachwele – VancouverFC, Canada.
 • 41:Amahl Pellegrino – Bodo/Glimt, Norway.
 • 42:Ladaki Juma Chasambi – Mtibwa Sugar, Tanzania.
 • 43:Ayoub Bilal – Free Agent.
 • 44:Ben Anthony Starkie – Basford United FC, England.
 • 45:Abdul Hamisi Suleiman ‘Sopu’ -Azam FC, Tanzania.
 • 46:Clement Francis Mzize – Yanga SC, Tanzania.
 • 47:Mbwana Ally Samatta – PAOK Salonika, Ugiriki.
 • 48:Matheo Anthon Simon – Mtibwa Sugar, Tanzania.
 • 49:Kokola Charles M’mombwa – Macarthur FC, Australia.
 • 50:Adam Salamba – Ly Stade Club, Libya.
 • 51:Omar Abbas Mvungi – Nantes, Ufaransa.
 • 52:Joshua Ibrahim Mwakasaba – Tusker FC, Kenya.
 • 53:Saimon Happygod Msuva – JS Kabylie, Algeria.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

KWA HABARI ZAIDI DOWNLOAD APP YA NIJUZE HABARI HAPA


KUPATA NAMBA YA NIDA BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA


KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA [email protected]

About the author

Nijuze

Leave a Comment